Suti nzuri kabisa ni bei gani eti nataka kumnunulia mtu?

mchakachuaji

Member
Aug 12, 2010
58
7
Nmeskia hapa Tanzania suti ni zawadi nzuri sana hivyo nataka kumnunulia mtu suti 10 bila masharti lakini sijui bei, ndugu zangu nisaidieni nijue bei!

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
utamu wa suti ni uwachukue unaotaka kuwapa uwapeleke london,za bongo ni za kichina siku moja ukifua kwishney.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Unaye taka kumnunulia hiyo zawadi subiri mpaka uchaguzi ujao
unaweza kupata ubunge wa viti maalum au ukapewa ikulu uibadilishe iwe kiota cha maraha

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,878
3,721
Mkuu Mchakachuaji, kwani una mradi gani unataka upendeleo?
Anataka kujenga hotel Ngorongoro/Selous!! Na ninauhakika akinunua hizo suti kumi atapewa, si yule mwarabu aliyenunua suti za Savile Row alipewa kujenga hotel Serengeti na muwekezaji mwingine amekatiwa Mbuga ya Selous achimbe Uranium!!!

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
ni kama anachekesha lakini inauma mtu anabadilishana mali asili zetu kwa suti harafu tunamchekea hivi sisi watanganyika tumerogwa au akili zetu ziko makalioni...aaagh

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,826
25,520
Kama namjua huyo jamaa unaetaka kumpa hiyo Zawadi!!
Kama ndie nimfikiriae mi nafikir ungetafuta zawadi ingine kwani nahisi atakua na Suti za kutosha kwa sasa kwani Juzi nimemshuhuia akipewa 5!!,
Kwanini usijaribu hata viatu na mkanda?
Meanwhile kama akilainika na kukupa nafasi ya kuwekeza hapa nchini usinitose basi mkuu!!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,968
7,995
Acheni unafiki and fitina! Thats why wabongo hatuendelei,kufuatilia personal affairs za watu tupo vizuri sana! Kama mijike,umbea tu

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
414
Acheni unafiki and fitina! Thats why wabongo hatuendelei,kufuatilia personal affairs za watu tupo vizuri sana! Kama mijike,umbea tu

Wewe una matatizo ya akili,mtu anavyofuja mali asili za nchi hizo ndizo personal affairs kwako? na pili umeonesha dharau kwa wanawake kwa kuwaiita mijike hiyo ni dharau kwao hata mama ako mzazi na ndugu zako wote wa kike umewadharau,acha kutumia akili za kimasaburi saburi au nawe ni sehem ya hyo familia? huna nidhamu wewe

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Koma Babkey! "Sio kila mzungu Padri" nipe bei ya suti nzuri
Na sio kila mzungu ni mmisionari. Hakuna bure dunia hii. Hapo lazima unatega kwa kutoa kitu kidogo ili upate kikubwa. Imekaa kama wataka kumhadaa mzee wa watu kiwanja (Natania tu!!!). Ila yasije yakawa ni yale mambo ya akina Carl Peters na Chifu Mangungo. Ukiweza mtafute kijana wa Kitanzania anaitwa Sheria Ngowi, kama sikosei yuko Bangalore India, atakupa suti nzuri ile mbaya. M google tu, utafika kwenye blog yake.

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,968
7,995
Kuzungumzia flani kavaa nini au kapewa nguo gani ni umbea! Au mlitaka prezidaa atembee uchi?? Wabongo bana,they go to offices kufanya umbea and uvivu,then wanamlaumu kikwete

Wewe una matatizo ya akili,mtu anavyofuja mali asili za nchi hizo ndizo personal affairs kwako? na pili umeonesha dharau kwa wanawake kwa kuwaiita mijike hiyo ni dharau kwao hata mama ako mzazi na ndugu zako wote wa kike umewadharau,acha kutumia akili za kimasaburi saburi au nawe ni sehem ya hyo familia? huna nidhamu wewe

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom