CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Jamani, msinichoke,
Naanza kuwekeza rasmi (I am taking risk).
Naomba kujua hivi vi-pick ups vidogo vidogo sijui vinaitwa SUZUKI CARRY, HIJET n.k vinauzwa bei gani?
Showroom ni bei gani na ni showroom gani ina be nzuri? Kwa kuagiza ni bei gani jumla mpaka inatembea barabarani?
Na ni vya aina gani vizuri, maana nasikia sijui kuna Suzuki macho duara, macho mstatili, Zuzuki bichwa n.k
Nahitaji cha kubeba vyakula vya mizigo na kupeleka bidhaa mjini na kusaidia shughuli ndogondogo nyumbani.