Surveyed plots for sale: Plots no.116-130 block ‘c’ at kerege area bagamoyo district-coast region

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Welcome to Kerege! A new neighborhood with open space, featuring the finest building sites in the area. Price of plot will include transfer costs to your name.
Plot No.115-1283 Square Meters: Tshs 8, 981,000/=
Plot No.116-1834 Square Meters:Tshs 12,838,000/=
Plot No.117-1255 Square Meters; Tshs 8,785,000/=
Plot No.118-1149 Square Meters:Tshs 8,043,000/=
Plot No.119-961 Square Meters :Tshs 6,727,000/=
Plot No.120-957:Square Meters:Tshs 6, 699,000/=
Plot No.121-885:Square Meters:Tshs 6,195,000/=
Plot No.122-956: Square Meters;Tshs 6,692,000/=
Plot No 123-857:Square Meters :Tshs 5,999,000/=
Plot No 124-941:Square Meters :Tshs 6,587,000/=
Plot No 125-734:Square Meters :Tshs 5,138,000/=
Plot No 126-758:Square Meters :Tshs 5,306,000/=
Plot No 127-748:Square Meters :Tshs 5,236,000/=
Plot No 128-798:Square Meters :Tshs 5,586,000/=
Plot No 129-769:SquareMeters :Tshs 5,383,000/=
Plot No 130-749:Square Meters :Tshs 5,243,000/=
PRICE IS NEGOTIABLE!
Contacts:0717114409/0755312233 or info@kitomai.com
 

Attachments

  • BUILDING PLOT.jpg
    BUILDING PLOT.jpg
    11.5 KB · Views: 81
Mkuu asante. Ila toa maelezo zaidi maana si kila mtu anajua kerege iko sehemu gani huko bagamoyo. Maelezo kama haya yangesaidia:

- Kerege iko eneo gani bagamoyo;

- Umbali gani kutoka barabara ya lami ya Bagamoyo

- Huduma mihimu zilizoko jirani (kama maji umeme nk)

- Unapoandika (Mfano:plot No.115-1283 Square Meters: Tshs 8, 981,000/=) hii haileweiki ni plot no au ni mita za mraba. fafanua vizuri ili tuweze kukokotoa bei vizuri.

- Bei ya kiwanja bila kuweka gharama za transfer ni shilingi ngapi. Maana kuna watu wanaweza kutaka kufanya transfer wenyewe.

- Hiyo open space umeulizia ni ya kitu gani maana inaweza kuwa dampo la uchafu la manispaa ...


Haya mimi nimepita tu..
 
Huyu jamaa ataanza kuwambia bei dola elf 30000 kwa kiwanja subirini muone...
 
KEREGE IPO: Pwani Bagamoyo , Tanzania, Africa . 6° 34' 0" South, 39° 2' 0" East.
Ipo umbali wa kilomita 39 kutoka city centre Dar es Salaam au kilomita 40 kutota Bagamoyo mjini. Ni kijiji cha pili kinachopakana na Dar es Salaam.

Viwanja vipo upande wa kushoto kutokea Dar es Salaam, umbali wa kilomita moja na nusu toka barabara iendayo Bagamoyo.

Huduma za maji na umeme zimefika kerege.


Soma hiyo habari hapo chini yenye kichwa cha habari hiki ''Uuzwaji ardhi Bagamoyo waitisha Serikali"Au fuatisha habari hiyo link hapa chini. Watu wiki ends siku hizi wanazitumia kwenda kerege kununua ardhi wameamka! Watu wananunua ardhi mpaka serikali inatishika!


Uuzwaji ardhi Bagamoyo waitisha Serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom