Ingekua kipo upande wa kulia ilipo bahari ingekua sawa kwa bei hio..Ukitoka TEGETA, unaingia BOKO halafu BUNJU A kisha ndio unaingia BUNJU B
kuhusu swali lako, BUNJU B iko pande zote mbili kushoto na kulia na kuhusu kiwanja kipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwa upande wa kushoto hiyo bei "anatupiga" eeee??Ingekua kipo upande wa kulia ilipo bahari ingekua sawa kwa bei hio..
Umesema ni Salasala?Plot Description's:
It's located at salasala, majengo.
Plot size is sqm 610
It's full surveyed plot (title deed is on process)
Distance from main road is 60-80m
PRICE: 18M
Kindly call/SMS through 0756 832833
N.b only serious individual are needed.
View attachment 1000067View attachment 1000068
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikutapeli au vipi? Maana inaeza ikawa ulisikia.kuna viwanja vipo maeneo hayo vya mzee 1 mchaga kwa juu wanachimba kifusi/kokoto yule mzee na kundi lake matapeli
walimtapeli jamaa yangu, nilikuwepo pia wakati wa kuweka alamaWalikutapeli au vipi? Maana inaeza ikawa ulisikia.
alidhurumiwa pesa,iko hiviWalimtapeli kiwanja au pesa?
By the way mpaka mtu unafikia hatua ya kutapeliwa kuna sehemu husika hukupita kujiridhisha kwa usahihi.
Unaweza ukaanzia ngazi ya Mjumbe na hatimaye serikali za mtaa kujua uhalali/usalama Wa eneo.
Kisha kabla ya biashara kufanyika lazima uwe walau na mwanasheria wako na hapo kumbuka lazima uwe umeshafanya search ya plot kwenye sehemu husika (mathalani wizarani au manispaa)
Changamoto inakuja ni pale unapoona kupita hizo sehemu ni gharama kwako au ni kupoteza mda hivyo unaona ni bora umalizane na mwenye Mali kimya kimya bila hata kushirikisha serikali ya mtaa.
Hatimaye unapata changamoto ya kuuziwa Mali yenye mgogoro au unatapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tambarare ~ Change in Y/ Change in X should be equal or almost equal to 0...Yawezekana sielewi vizuri maana ya neno tambarare.
Tambarare ~ Change in Y/ Change in X should be equal or almost equal to 0...
ie Zero gradient.
Hivi kimara bonyokwa ipo km 3 toka kimara mwisho? Mi najua bonyokwa ipo karibu na tabata segerea sasa inakuwaje km 3 toka kimara mwisho.
Toa maelezo vizuri hata akija mwenyehaja kweli ya kununua ajue picha halisi.
Pia huyo jamaa aliyesema unauza kwa sababu ya mvua zilizopita haijui kimara au anafurahisha tu: Kimara hakuna mafuriko kwa sababu maji hayakai kuna miinuko na mifereji kimara na mbezi yote huwezi kusikia maji yameingia ndani kwa watu
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Uko sawa kabisa. Ndio maana tambarare ni adimu.
Na pia unaweza ingilia Ubungo- Makoka...Umejibu vyema,
Bonyokwa unaweza kupitia maeneo tofauti na ukafika.
unaweza pita Morogoro road ambapo unaingilia KIMARA mwisho, pia unaweza kupitia Kinyerezi mwisho vilevile ukapitia njia ya Segerea (kabla ya kilima cha magereza) zote ni sehemu sahihi tu. Na kuhusu umbali sina uhakika sana kama ni sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app