Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
Hapo ni full kujiachia bila mkanda tena.......
the designer might be ...............???????
the designer might be ...............???????
Inaelekea jamaa anasikia raha kushikwa masaburini! :embarassed2:
Hapo ni full kujiachia bila mkanda tena.......
the designer might be ...............???????
mbona anaemshika masaburini ni kama njemba mwenzake tu!!!
Mmh hii made in wapi?
Alcatraz Prison in the US.
Mchezo wa kuvaa mlegezo ulipoanzia. Wanaume wanaowaudumia wanaume wezao walikua wanavaa hii ili kujionyesha kuwa wanatumika.
mbona anaemshika masaburini ni kama njemba mwenzake tu!!!
Mwanangu ananivalia hivyo! namuuliza wewe vipi ? aniambia "Samahani baba" ebo!! anacheka... Mmmh sina la kujibuHapo ni full kujiachia bila mkanda tena.......
the designer might be ...............???????
ina choo ndani kwa ndani
Hata igawewe bure "sii taki"Hapo ni full kujiachia bila mkanda tena.......
the designer might be ...............???????
Una utani na "ngangari"?... designer might be ...............???????