Suruali ya mwanaume kutuna sehemu ya mbele huongeza nyota ya kupendwa sana na wanawake

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu na kwa sample kubwa nikagundua kwamba ukiwa unahutubia au uko mbele ya hadhara ya wadada watupu wewe peke yako ukawa ndio mwanaume pale halafu suruali ikatuna kwa mbele (sio saaana mpaka ikawa aibu ) basi utapendwa Sana na zaidi ya nusu ya hao wadada.

Nilichogundua wanawake wakiwa wengi halafu wakauangalia uume mmoja kwa wakati mmoja
basi wanalegea wote kwa mpigo.

Chunguzenu mtaona !
 
Adimin heading isomeke suruali ya
mwanaume ikituna mbele ya hadhara ya wakina dada huongeza nyota ya kupendwa kwa wanaume.

Huu ni utafiti kabisa ni Jambo la kweli na serious.
 
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu na kwa sample kubwa nikagundua kwamba ukiwa unahutubia au uko mbele ya hadhara ya wadada watupu wewe peke yako ukawa ndio mwanaume pale halafu suruali ikatuna kwa mbele (sio saaana mpaka ikawa aibu ) basi utapendwa Sana na zaidi ya nusu ya hao wadada.

Nilichogundua wanawake wakiwa wengi halafu wakauangalia uume mmoja kwa wakati mmoja
basi wanalegea wote kwa mpigo.

Chunguzenu mtaona !
Pochi lako likituna utawalegeza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hatujaamka sheikh
Nimefanya utafiti kwa muda mrefu na kwa sample kubwa nikagundua kwamba ukiwa unahutubia au uko mbele ya hadhara ya wadada watupu wewe peke yako ukawa ndio mwanaume pale halafu suruali ikatuna kwa mbele (sio saaana mpaka ikawa aibu ) basi utapendwa Sana na zaidi ya nusu ya hao wadada.

Nilichogundua wanawake wakiwa wengi halafu wakauangalia uume mmoja kwa wakati mmoja
basi wanalegea wote kwa mpigo.

Chunguzenu mtaona !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Conclusion Ya Uchunguzi Wako
Nilichogundua wanawake wakiwa wengi halafu wakauangalia uume mmoja kwa wakati mmoja
basi wanalegea wote kwa mpigo
.
 
Back
Top Bottom