Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.
tuvaeje sasa?
chup2 na tai na kokonko?
Vaeni kama mama zetu wa zamani. Mfano mzuri, vaeni kama Wamasai. Red ya nini? Ndio maana mnapata kansa za kila aina. Dr. Ndodi anayoongea mnaona mzaha? Upepo ukipuliza ni dawa pia. Nipigie simu nikuelekeze.
Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.
kwa hiyo ukinioa nitaliaga'kufuli' kama nitakavyowaaga ndugu zangu.mweeh na upepo wa dar unavyopuliza kwa kasi.
Waelekea wapenda za fastafasta kama za ngoma za kabila flani...
Si hivyo best wangu. Nawashauri kwa sababu za kiafya. Soma kitabu cha 'Mahali Pasipo na Daktari'. Jiulize ni kwa nini mama wa Kimasai si wengi wanapatwa na kansa ya kizazi.
Waelekea wapenda za fastafasta kama za ngoma za kabila flani...
Sure. Upepo dawa.
eeeh mi hata chupi huwa sivai napata full kipupwe so msinihesabie kwenye hiyo post mtakua mnanionea
Unataka MAFATAKI yarahisishiwe kazi???Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.
kuna maswali mengi ningependa kukuuliza lkn naogopa.