Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
kuna akina mama kutokana na matatizo kadha wa kadha inabidi wasaidiwe kubebewa ujauzito na akina mama wengine al maarufu 'surrogate mother'
lakini, inaelekea huwa kuna uhasimu wa kihisia baina ya mama orijino wa mtoto na surrogate mother.
Surrogate mother anapata nafasi ya kubond na mtoto akiwa tumboni, anaanza jlkujisahau kama yule si mtoto wake.
Mama orijino anakuwa frustrated maana anakosa muda wa kubond mtoto akiwa tumboni.
Hebu nielezeni, how to cope na hali hii wote kwa mama orijino na surrogate mother.
Na je, baada tu ya mtoto kuzaliwa, surrogate mother aondelewe mara moja?
Am confused, help!