surprising health benefits of sex

melvinG

Member
Oct 11, 2012
41
6
surprising-health-benefits-of-sex-s18-chart-of-sexual-health-benefits.jpg

power to you...basi usikomoe na misupu ya pweza au karanga mbichi plus miogo mibichi kuchanganya na wine heheheh
 
Kweli bro hapa nature tu inatakiwa ifanye kazi yake. Tukiwa na mawazo sex huyazima hata kama ni kwa muda.
 
And what if you do with an illegal person?? Do you mean that you will not get those advantages mentioned??

mostly!
manake hayo matokeo yote ni kwa vile akili imerilax kiasi kikubwa sana
huna hofu ya magonjwa
huna hofu ya mimba isotakiwa
huna hofu ya kufumaniwa
huna hofu ya kufededwa ukipitiwa na usingizi sana manke kuna mijitu mibazazi tu!
mradi tu akili inakuwa full kipupweni!
 
khaa! jamani ile amani tu nafsin ni kiboko yaani ukishapewa mpera wa haja unaonaje raha ya kuish?????????? lolest.........halafu ukute bni siku ulikuwa na hamu wallah utaona uko peponi .mmmh! niache nisije hamisa sred jukwaa bure
 
mostly!
manake hayo matokeo yote ni kwa vile akili imerilax kiasi kikubwa sana
huna hofu ya magonjwa
huna hofu ya mimba isotakiwa
huna hofu ya kufumaniwa
huna hofu ya kufededwa ukipitiwa na usingizi sana manke kuna mijitu mibazazi tu!
mradi tu akili inakuwa full kipupweni!


duh,hofu ya kufededwa?
kumbe mnakumbwa na mengii ehh?
usingizini hutashtuka?
 
duh,hofu ya kufededwa?
kumbe mnakumbwa na mengii ehh?
usingizini hutashtuka?
mi hizi hofu sina si umeshasema hasa ukifanya na right person kwa hiyo wapo wanafanya na mibabazi ya mujini hapa oh!wakishamaliza tu chap chap bafu li wapi hao watafute taxi!jhuuu ya nini?jhuu ya nini?bhatu bhaache kujiachia ku fasi ya mukitanda baada ya kucompletee kazi iko kubwa namuna ile?jhuu ya nini!
 
khaa! jamani ile amani tu nafsin ni kiboko yaani ukishapewa mpera wa haja unaonaje raha ya kuish?????????? lolest.........halafu ukute bni siku ulikuwa na hamu wallah utaona uko peponi .mmmh! niache nisije hamisa sred jukwaa bure
hili hata mimi nalihofia muda si mrefu tutapigwa repatresheni!
 
poleni kwa kweli....
boss hakuna mtu mbaya kama mwanaume anayenunua kahaba manake hawa huwatumia wanawake hawa watakavyo simply kwasababu ya hela zao i hate them aisee............. yaani unakuta mwanaume kisa katoa hela yake anataka afirigise bao hata 7 mbele na nyuma huku akimaliza stail zote na kumfinya hadi kumtoa alama lol!
 
Last edited by a moderator:
shshshshshshshhhhhhhhhhhh!.............................kimyaaaaaaaaaaaaaaaa

ahahahahahahhaha bora!manake nahisi tulishaanza kuchangamka ka tumetiwa ndimu hapa!si unajua tena tukikutanaga mie nawe kwenye hizi mada!
mtu people:A S-coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom