Surporting materials

Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,200
5,553
hii ni nyenzo muhimu sana wakati wa mitihani hasa ya vyuo, na wanafunzi wanatumia kwa kificho na kwa umakini mkubwa, kwa wale wataalamu lecturer hata abane man to man hii material itatumika tu. Material haya yamebatizwa majina kutegemea na chuo

1. DIT ~ JUCHE
2. MUST~ PHANTOM
3. UDSM~
4. SUA ~

Tumalizie vyuo vingine
 
Jf imevamiwa,.

Tutajie na ya chuo chako au wewe hujafika chuo?
 
Back
Top Bottom