Surely, i hate you, tanesco!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
****in, I hate you TANESCO! Huu mchezo wa kukata na kuwasha umeme mara 20 kwa siku maana yake nini? Mmeshatutia hasara kutuunguzia vifaa na fidia hamtoi! Bora mkate siku nzima tu kama hamna uhakika na network yenu! Aggh..! Mnaboa bhana!
 
Tanzania ni nchi ya kipekee ambapo watu wake kila mtu na maisha yake na hata wakilalamika ni kama huyu alieeta hii threat yani analalamika halafu anakunywa maji analala kitu kinabaki pale pale.
Mchawi wetu kafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom