adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,475
- 4,265
Sureboy amesajiliwa Yanga katika dirisha dogo kutoka azam ambako hakuanza msimu vizuri sana mbele ya viungo wa Azam Keneth Muguna, Mudathir na wengine. Akaenda Yanga ambako tayari tayari Aucho, Bangala wametawala.
Muda ambao Sureboy kaingia ktk kikosi cha kwanza cha Yanga ni wakati Aucho alichelewa kurudi Uganda na akadai ana majeruhi ndo Sureboy akawa anaanza. Kimahesabu ni nusu ya pili ya mzunguko wa lala salama. Anaingiaje ktk kinyang'anyiro cha tuzo ya kiungo bora wa msimu kumzidi AZIZI ANDAMBWILE wa Mbeya city ambaye amekichafua sana msimu huu hakika amekuwa na wkaati mzuri mno hadi akaitwa ktk kikosi cha national team. Hivyo hivyo kwa Chombo REDONDO nadhani hili liko wazi hakuna atakayebisha wala kujadili uwezo wake msimu huu.
Nashindwa kuelewa kigezo kilichotumika kumuweka Sureboy katika category hii kwakweli.
Nawasilisha. ukichangia acha mihemko andika facts.
.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app