sura zinavyokuwa kabla na baada ya kula kichapo cha makonde ya kufa na mtu!!!

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
0
lini uliwahi kupigwa???!!na kwa sababu gani??na nomber ipi kati ya hizo za kwenye picha inayoeleza hali ya maumivu uliyokuwa nayo baada tu ya kula kichapo??!!

1 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_02.jpg
2 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_03.jpg
3 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_05.jpg
4 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_06.jpg
5 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_11.jpg
6 a_boxers_face_before_and_after_taking_a_few_punches_640_07.jpg
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,268
2,000
Huyo wa pili tokea mwisho reception yake awe amepigwa au hajapigwa bado ina mushkeli
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,368
2,000
Tatizo la kichapo ni kuwa mara zote wakati unakipokea husikii maumivu,baada ya tukio ndio unakoma....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom