Sura za Majonzi kwa walioguswa na Mabomu ya gongo la Mboto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sura za Majonzi kwa walioguswa na Mabomu ya gongo la Mboto

Discussion in 'Jamii Photos' started by geophysics, Feb 22, 2011.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Willibrod Slaa akiwa na Mke wake kwenye mazishi ya mama na watoto wake wawili kutoka familia moja ya Jacob Nyajengo wa Mzambarauni,waliokufa kwa kuangukiwa na nyumba ya jirani, kutokana mabomu yaliyolipuka kutoka ghala la Silaha katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo la Mboto,Dar es Salaam.Mheshimiwa Dk Wilbrod Slaa alifuatana pia na wabunge kadhaa kwa tiketi ya chama hicho.Picha hii na Mdau Bashir Nkromo
  [​IMG]
   
 2. g

  geophysics JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  By facial impression, dress codes na mwonekano wa hawa watu utaona kuwa wameguswa na tukio.... Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi.... Amen
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  siasa za makamba bwana hatari kweli si alisema huyu mke wa mtu na mumewe akajitokeza sasa vipi tena kesi iliiisha ilee!
  KWELI NI BORA WENGINE TUWE WATENDAJI TUUU SIASA SIIAKI KABISAAA!
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mkuu makamba yule ni hamnazo.
   
 5. g

  geophysics JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyo makamba mwenyewe hatujamsikia akitoa pumba zake wakati wa haya ya gongo la mboto...maana waweza kushangaa anasema ni mkono wa mtu twende kwa waganga
   
 6. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  makamba anakabiliwa na mzozo mkubwa na majirani zake baada ya kuwazuia wasipate maji
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu makamba ni kilaza wakiasi hicho kweli!??
   
 8. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  haya mabomu ya gongo la mboto lilimstahili moja...

   
Loading...