Sura ya binadamu ina tabia ya kubadilika?

kwenzi

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
669
666
Kuna madogo zangu walipo kuwa wadogo walikuwa wazur sana kisura,siku zinavyo zid kwenda naona uzur unapotea.

Kuna wengine walipo kuwa wadogo walikuwa wakawaida Sanaa ila ukubwani ;

Wakike wamekuwa warembo aswaaa...

Midume imekuwa ma HB

Hapa sizungumzii wale wanao jikolongombowa wanja sijui mpaka sikion lipstick mpaka kwenye shingo,kiukwel utakuwa Jin na utatisha.

Yan hata kipenz changu kuna siku namuona mrembo aswaaa kuna siku anakuwa wa kawaida Sanaa...
Kuna siku anakuwa kama malaika..

Izi ni hisia zangu? Au kuna ka ukweli?
 
Wakati wa kubalehe mabinti wengi huwa wazuri na kuvutia lakini wakishaanza kufikia miaka 21 ndipo hujulikana mbaya na mzuri
 
Mkuu..! dunia ina mengi, mchunguze huyo mrembo wako, isiwe unadate na kinyonga wewe hujui..!
 
Back
Top Bottom