Sura Mbaya, jambazi aliyeitikisa Tanzania kutoka Tabora

Kuna watu wamefanya matukio ya kutisha lakini historia zao haziandikwi.
Kuna jambazi aliitikisa Tanzania alikuwa akiitwa Sura mbaya, si jina lake halisi bali lilitokana na matendo yake.
Jambazi hili lilikuwa likiishi Tabora miaka ya 1980.
Alikuwa na Uwezo wa kukupokonya chochote hata mkeo na alikuwa hakamatiki.
Najua mpo mnaojua historia ya hili jambazi karibuni mtiririke
habari za watu Kama hawa hazina afya kwa jamii sababu hazina mafunzo mema Bali huhamasisha uhalifu ntakupa mfano Wa mtu Kama ELCHAPO GUZMAN wao wanamuita mungu Wa madawa ,kilicho muhamasisha kujiingiza katika masuala hayo alikiri kuwa ni pamoja na kutizama picha nyingi za kihalifu na pia kusoma historia za PABLO ESCOBAR ,Nadhani umepata jambo
 
Guzman walishatusaidia kumfukia au bado?
 
Abel hakuwa jambazi, alikuwa kibaka tu ,ndiyo maana likamatwa kiboya sana akiwa amejificha pembeni ya mto..
Wee abel mpaka RPC alipewa masaa awe amemshikaaa. .!! Akaongezewa na polisi kikosi kazi kimsake kibaka Yule aliua watu wengi sana na kupora mali
 
Sura mbaya alikuwa anatumia madawa, pamoja na ubabe wake, aliuawa, alichinjwa, kiboya sana
 
Miaka hiyo alikuwepo mwingine aliitwa
BLACK SEPTEMBER alitisha sana
Kuna watu wamefanya matukio ya kutisha lakini historia zao haziandikwi.

Kuna jambazi aliitikisa Tanzania alikuwa akiitwa Sura mbaya, si jina lake halisi bali lilitokana na matendo yake.

Jambazi hili lilikuwa likiishi Tabora miaka ya 1980.

Alikuwa na Uwezo wa kukupokonya chochote hata mkeo na alikuwa hakamatiki.

Najua mpo mnaojua historia ya hili jambazi karibuni mtiririke
 
Rukwa, Sumbawanga miaka ya 199+ kuna mwamba mmoja wakuitwa Maftaha, huyu jamaa alisumbuaga sana swax town, akaingia choo cha kisichana baada ya kwenda eneo la KIPONDA MAWE akapigwa risasi ya mguu akakamatwa.

xxx xxx xxx xxx xxx

Moshi maeneo ya stand kuu kuna njemba moja miaka ya 198+ wa kuitwa MWAMBA alikua akiishi maeneo ya Njoro ya robi, aliwasumbua sana kina Amita Bachani aisee.

xxx xxx xxx xxx xxx

Hatimaye mjini Dar, Kuna kijiwe kimoja kilikua kikiitwa TUA TUGAWE maeneo ya stand ya mabasi ya mikoani kipindi hicho Kisutu.

Hawa miamba wamekula sana chapati za ngano na mapochopocho ya kihindi na ndipo walipolipata jina TUA TUGAWE.
 
Huyo Jombi alifanyia wapi shughuli zake?
Huyu alikuwa mbabe sana aisee alikuja kushughulikiwa na RPC Saanya. Aliwekwa ndani (mahabusu) zaidi ya miaka 6. Siku alipokuja kuachiwa hakuamini alibaki hapo mahakamani mpaka saa 12 jioni alipoombwa na askari kuwa aondoke yuko huru.
 
Miaka hiyo alikuwepo mwingine aliitwa
BLACK SEPTEMBER alitisha sana
Hili kundi lilikuwa pale uwanja wa Karume kwenye yale makaburi. Kundi lilivuma sana miaka ya 1970s. Wakati likiwa linaelekea ukingoni kuna mtu anayeitwa Hamisi Kiguru (Alikuwa anachenjegua, mguu mmoja ulikuwa na hitilafu). Walikuwa ni wabakaji na waizi kwa watu waliokuwa wanapita njia maeneo yale.
 
usikute wewe ndiyo sura mbaya
[/QUOTE
Kuna watu wamefanya matukio ya kutisha lakini historia zao haziandikwi.

Kuna jambazi aliitikisa Tanzania alikuwa akiitwa Sura mbaya, si jina lake halisi bali lilitokana na matendo yake.

Jambazi hili lilikuwa likiishi Tabora miaka ya 1980.

Alikuwa na Uwezo wa kukupokonya chochote hata mkeo na alikuwa hakamatiki.

Najua mpo mnaojua historia ya hili jambazi karibuni mtiririke
Daah Mimi kama mgeni hapo
 
Kuna jambazi alikuaga mbeya anaitwa kipara tako, mwaka wa 1978 alisumbua jeshi sio mchezo
 
Back
Top Bottom