Kuna Andrew Change, Nimrod Mkono n.k japo wao wanaangalia maslahi yao kwanza
Sio mallyaMallya
OfukozSio mallya
Wengi uliowataja ni kwa sababu wanajulikana sio kwa sababu ni wajuvi wa taaluma zao. Kumbuka kuna watu wanafanya mambo makubwa nchi hii lakini 'underground'Mawakili nnaowakubali Bongo ni Tundu Lissu,Albert Msando,Kibatala,Jebra Kambole,,,Hawa wajuba ni kisanga
Oooh sawa mkuu.Wengi uliowataja ni kwa sababu wanajulikana sio kwa sababu ni wajuvi wa taaluma zao. Kumbuka kuna watu wanafanya mambo makubwa nchi hii lakini 'underground'
Huyo wa kati ni nani?
Mallya