Sura hatari sana kwenye Sheria

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Kwa hapa Tanzania bado sana kutokea wana sheria watakao washinda hao watu kwenye picha.
Picha yenyewe na matendo yanajieleza
20190826_074001.jpeg
 
Wanasheria wapo wengi tu, Tatizo la kesi za wanasiasa tawala, wanaanza kuharibu wao kisha wanawatuma wanasheria wakatengeneze mambo. Unategemea nini hapo?
Gabbage in gabbage out.
 
Mawakili nnaowakubali Bongo ni Tundu Lissu,Albert Msando,Kibatala,Jebra Kambole,,,Hawa wajuba ni kisanga
Wengi uliowataja ni kwa sababu wanajulikana sio kwa sababu ni wajuvi wa taaluma zao. Kumbuka kuna watu wanafanya mambo makubwa nchi hii lakini 'underground'
 
Mimi nimeshangazwa sana kesi ya Lisu serikali kuweka mawakili 10 plus, hiyo ni hofu au? Nadhani hii kesi imeweka rekodi kwa idadi ya mawakili.

Vv
 
Wangekuwa wanazijua sheria si wangeenda kuitetea nchi kwenye kesi za madai SA? Wengi mnahukumu Mzee wa msoga na Chato wakati kesi ni ya miaka dahari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom