SURA 1001 ZA WANAWAKE: Wanaume wana mbinu, wanawake wana mitego

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hakika maajabu hayaishi chini ya jua na yanaendelea kumbuka siku baada ya siku. Ajabu namba moja ni mwanadamu.
Hili ajabu mtu, Kila siku limekuwa likivunja rekodi zake lenyewe za maajabu Na miujiza.
Kuna mdada tulisoma wote miaka mingi nyuma, enzi zile tunavaa kaptula za kaki na wao sketi za kijani Nyambitilwa hukooooo kwa kina MBITIYAZA, Na Beira Boy , jirani na Ikungulyabhashahshi kwa kina Nyani Ngabu.
Napenda nikiri kuwa mimi ni mlevi, ndio, tena mlevi mbwa niliyelewa kwa kilevi cha JamiiForums kiasi kwamba siijui Instagram Wala Facebook.
Juzi kati Bwana mdogo kanilazimisha sana nifungue account ya fb ili tuweze kukamilisha mambo fulanifulani. Bila hiana nikafungua.
Baada ya muda mfupi mambo yakawa moto, friend requests zinatumika kutoka mashariki hadi magharibi , kusini hadi Kaskazini, si kina dada Wala kina kaka ambao hawakuniomba urafiki.
Miongoni mwa maombi, yalikuwa ya huyu mrembo niliyesoma nae shule alizotuachia Mwalimu Nyerere.
Tukapiga nae story nyingi sana, tukakumbushana mambo mengi Na mengineyo.
Tukahama kutoka kwenye Facebook tukahamia WhatsApp.
Mambo yakawa moto moto moto moto Na joto lake.
Mrembo akajieleza kuwa yuko single, akanikaribisha kwake Huko Upanga National Housing Flats.
Nikakaribushwa kwa mizinga (gun salutes) 21 za mabusu moto moto , mabusu nyevu , kwa kichina yanaitwa wet kiss au French kiss. (Nikaona ni maajabu)
Baada ya pale nikaandaliwa some cookies, nikala kidogo nikaletewa Na glass ya grapevine. Nikaididimiza kwa style za Kimasanja Mkandamizaji.
Baada ya pale bibie akaanza foreplay, Ikanoga Na tukanogewa, nikamwambia Huwa sivui nguo nyumbani kwa mwanamke, nikamwambia twende hotelini, akagoma akasema twende kwako.
Tukavaa fresh, tukaingia kwenye gari Na kuianza safari ndefu ya kuelekea Mbweni kama Dr. Shika alivyokuwa akihama coast to coast, city to city.
Baada ya long cruise tukafika kwangu, Mbweni Masaiti.
Nikamwandalia bibie matunda huku nikiwa nimemwacha akiangalia reality TV.
Nilipo rudi Na bakuli langu la matunda nikamkuta bibie analia, machozi yamemloanisha blauzi yote.
Nikaanza kumbembeleza Na kumtuliza ili nijue kimlizacho.
Akanijibu ananionea huruma kwa maisha yangu ya upweke. Akanisihi sana akuanzia kesho yake nitafute mpangaji kisha mimi Na yeye tukakae kwake Upanga.
(Maajabu Haya, dada anataka kunioa)
Kesho yake asubuhi ilikuwa jumamosi, tukaamka Na kuelekea oceanic resort Huwa wana BBQ nzuri Na kuogelea. It was really pretty day. Jioni tukarudi home.
Jumapili akanipeleka kanisani kwao, tukasali Huko kisha nikampeleka kwake.
Njiani alinieleza kuwa ana shida ya kukopeshwa milioni saba kwa rehani ya gari Grand Vitara, hivyo nimsaidie kumtafutia mkopeshaji.
Mimi sii mzoefu sana wa kukopa kwa riba, nilihangaika sana na sikupata mtu wa kuweza kumkopesha.
Jioni niliporudi Upanga, nilimjulisha ugumu niliokutana nao kwenye kumtafutia mkopeshaji atakaye pokea gari kama rehani.
Huo ukawa mwanzo wa maajabu mapya.
Binti alinitukanakila aina ya tusi kuwa kamwe hawezi kuwa Na Mwanaume kama mimi, nimeshindwa kumtafutia mkopeshaji hiyo poa, mbaya nimeshindwa kujiongeza hiyo hela niitoe kwenye vyanzo vyangu vya mapato nimpatie yeye.
Kashfa na kejeli vikawa ni vingi mno.
Mwisho nikamuuliza, kwa hiyo ulikuwa unajikiza kule Mbweni ili nikupe million saba??
Kweli wanaume wana mambinu Na wanawake Wana mitego.
Shikamoo wanawake kwa mitego yenu daraja la kwanza.
...laki 7 ingependeza zaidi
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hakika maajabu hayaishi chini ya jua na yanaendelea kumbuka siku baada ya siku. Ajabu namba moja ni mwanadamu.

Hili ajabu mtu, kila siku limekuwa likivunja rekodi zake lenyewe za maajabu na miujiza. Kuna mdada tulisoma wote miaka mingi nyuma, enzi zile tunavaa kaptula za kaki na wao sketi za kijani Nyambitilwa huko kwa kina MBITIYAZA, Na Beira Boy , jirani na Ikungulyabhashahshi kwa kina Nyani Ngabu.

Napenda nikiri kuwa mimi ni mlevi, ndio, tena mlevi mbwa niliyelewa kwa kilevi cha JamiiForums kiasi kwamba siijui Instagram wala Facebook. Juzi kati Bwana mdogo kanilazimisha sana nifungue account ya fb ili tuweze kukamilisha mambo fulanifulani.

Bila hiana nikafungua, baada ya muda mfupi mambo yakawa moto, friend requests zinatumika kutoka mashariki hadi magharibi , kusini hadi Kaskazini, si kina dada wala kina kaka ambao hawakuniomba urafiki. Miongoni mwa maombi, yalikuwa ya huyu mrembo niliyesoma nae shule alizotuachia Mwalimu Nyerere.

Tukapiga nae story nyingi sana, tukakumbushana mambo mengi na mengineyo.
Tukahama kutoka kwenye Facebook tukahamia WhatsApp.Mambo yakawa moto moto moto moto Na joto lake.Mrembo akajieleza kuwa yuko single, akanikaribisha kwake Huko Upanga National Housing Flats.

Nikakaribushwa kwa mizinga (gun salutes) 21 za mabusu moto moto, mabusu nyevu, kwa kichina yanaitwa wet kiss au French kiss. (Nikaona ni maajabu)
Baada ya pale nikaandaliwa some cookies, nikala kidogo nikaletewa Na glass ya grapevine. Nikaididimiza kwa style za Kimasanja Mkandamizaji.

Baada ya pale bibie akaanza foreplay, Ikanoga Na tukanogewa, nikamwambia huwa sivui nguo nyumbani kwa mwanamke, nikamwambia twende hotelini, akagoma akasema twende kwako.

Tukavaa fresh, tukaingia kwenye gari na kuianza safari ndefu ya kuelekea Mbweni kama Dr. Shika alivyokuwa akihama coast to coast, city to city.
Baada ya long cruise tukafika kwangu, Mbweni Masaiti.

Nikamwandalia bibie matunda huku nikiwa nimemwacha akiangalia reality TV.
Nilipo rudi na bakuli langu la matunda nikamkuta bibie analia, machozi yamemloanisha blauzi yote.

Nikaanza kumbembeleza na kumtuliza ili nijue kimlizacho, akanijibu ananionea huruma kwa maisha yangu ya upweke. Akanisihi sana akuanzia kesho yake nitafute mpangaji kisha mimi na yeye tukakae kwake Upanga.

(Maajabu Haya, dada anataka kunioa)
Kesho yake asubuhi ilikuwa Jumamosi, tukaamka na kuelekea oceanic resort huwa wana BBQ nzuri na kuogelea. It was really pretty day. Jioni tukarudi home. Jumapili akanipeleka kanisani kwao, tukasali huko kisha nikampeleka kwake. Njiani alinieleza kuwa ana shida ya kukopeshwa milioni saba kwa rehani ya gari Grand Vitara, hivyo nimsaidie kumtafutia mkopeshaji.

Mimi si mzoefu sana wa kukopa kwa riba, nilihangaika sana na sikupata mtu wa kuweza kumkopesha. Jioni niliporudi Upanga, nilimjulisha ugumu niliokutana nao kwenye kumtafutia mkopeshaji atakaye pokea gari kama rehani.Huo ukawa mwanzo wa maajabu mapya.

Binti alinitukana kila aina ya tusi kuwa kamwe hawezi kuwa na mwanaume kama mimi, nimeshindwa kumtafutia mkopeshaji hiyo poa, mbaya nimeshindwa kujiongeza hiyo hela niitoe kwenye vyanzo vyangu vya mapato nimpatie yeye.
Kashfa na kejeli vikawa ni vingi mno. Mwisho nikamuuliza, kwa hiyo ulikuwa unajikiza kule Mbweni ili nikupe millioni saba?

Kweli wanaume wana mbinu na wanawake wana mitego. Shikamoo wanawake kwa mitego yenu daraja la kwanza.
Kula chura hiyoooooo
 
hahahaha halafu Kuna watu sasaivi wakiona nyuzi Kama hizi wanawaponda vijana. wanawaita vijana wahovyo. kumbe hatazamani walikua naujinga mwingitu.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom