Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
COPIED....
Haya kina dada somo hilo kutoka kwa mwanamke mwenzenu.Kuna sehemu nimeikuta hii kitu nikaona sio mbaya niwaletee SUPU YA WEEKEND hasa kwa wale wanaume ambao sio weekend sio siku za kazi kuwakuta wakikaa home kupumzika na familia zao imekuwa shida
Nini kifanyike hasa weekenda Mwanaume ashinde NYUMBANI akikupumzikia??Zipo njia nyingi mojawapo SUPU YA WEEKEND, MAZUNGUMZO NA MKAO
Ni kweli wanawake wengi hamjuagi kuwakalisha waume home.
Anza hivi
Siku uko home wewe amka mapema kabla yake anza makeke jikoni...
Mara blenda priiiii... juice... ama milk shake.... hahahaha..Utaona anasogea jikoni..
Wakati anakunywa juice ama milk shake...Anza kukuna nazi ukimaliza chambua mnafu...
Hapo jikoni kuna kanyama kanachemka... katia kitunguu tupia viazi 2 na ndizi.Hahaha..
ile harufu ikianza kutoka utasikia anafuata maji jikoni... hahahaha kwenye friji... wala hatumi..
Hahaahha... utasikia nini kiko jikoni?Hahahaa.
Mmiminie supu...
Na ndizi mbili na kiazi kimoja kapilipili mbuzi pembeni..
Muulize kuna chapati...Mpe.. hahahahaha..Akimaliza supu nakuapia atasinzia..
Akishtuka ugali na mnafu na nyama umeiva...Mpe ale..Mshushie na glass ya mtindi...Hahahaha..
analewa full.
Hahahahahaha....Baada ya hapo acha apumzike... aoge...
Kisha funga ka khanga kako kepesi jilaze pembeni.. woiiiiiiiii..
Mkimaliza muombe pesa ya sokoni...
NAKUAPIA HATA KAMA JANA YAKE ALIKUPA ATAKUPA TENA
Haya sasa mambo hayo mataaaaamu Epuka kuwa single mama jiongeze