Supu ya Uswazi...

Haujakoma?Ngoja uumwe tena tumbo.Linda sana tumbo lako.Penda kula viazi vilivyochemshwa,mtindi,maziwa fresh,juice za matunda mbalimbali,dona,karanga mbichi,matunda,mboga za majani,nafaka za ngano,mtama,mihogo,supu ya samaki na kadhalika.
Ni kweli mkuu, nitazingatia
 
Back
Top Bottom