Support kubwa mziki wa nje kuliko wa ndani

Moh04

Member
May 24, 2015
12
19
Najaribu kuwaza hivi, ni kwamba wasanii Bongo ni wachache sana mpaka wasanii wa nje kupewa promo kubwa kuliko wasanii wa ndani!?

By the way, sina tatizo sana na wasanii wa kupewa promo hapa Bongo lakini swali ni je, na sisi huko kwenye nchi za watu tunapewa attention kama tunayowapa?

Au kwa kuwasikiliza ndo tunapata mashavu ya kwenda kufanya shows kwnye nchi za nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi zenu ni bora kwenye eneo lenu wakati wenzenu kazi zao hufanya kwa ajili ya kila mtu mwenye sikio la muziki asikilize.

Nani atampa promo Mario huko Nigeria au SA.
 
African Giant woyooooo
Thanks Burna 😂😂
Unateseka mtoa mada

Ok love Album Ya Jux Na African Giant Ni Album Gani bora Kimataifa ??
Lugha kikwazo Mkuu
 
Si mliweka Sheria ya kutokupiga ngoma za nje kwenye media za kibongo...vp mmeivunja??...Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!.......Huwezi fananisha mziki wa kibongo na wenye mziki wao!
 
Ingekuwa hivyo usingeona album ya diamond ya "a boy from tandale" ingeshinda tuzo kwenye kituo Cha SOUNDCITY chaa south Africa Kama best album kwa Africa mwaka 2018, diamond asingeperform Mara mbili kwenye michuano ya Africa caf, diamond asingekuwa ana show 50 za nje ya nchi mwaka Jana tena kwenye makumbi makubwa na baadhi kwenye viwanja baadhi ya nchi ilikuwa South Korea, German kwenye ukumbi wa Columbus n.k, diamond asingekuwa ana tuzo si chini ya 100 alizozipata nje ya nchi pia asingekuwa ameshirikishwa na wasanii wakubwa Kama Yemi alade, Papa wemba, fally Ipupa, Iyanya kipindi yupo wa Moto, AKA wa south africa, Mafikizolo n.k, diamond Hadi sasa hiv ana show 34 za nje ya nchi Hadi March ya mwaka huu.Lakini pia diamond ni msanii pekee kutoka Africa aliyeweka record ya kushinda tuzo mbili kubwa kwa pamoja MTV EMA na MTV European aliyemshinda mwanadada Priyanka Chopra wa india.Hadi sasa hakuna msanii yoyote waAfrica aliyevunja hii record na aliiweka Mwaka 2015.

Tukija kwa Rayvanny ameshinda tuzo ya BET ni msanii aliyeongoza kuliko msanii yoyote wa East Africa mwaka Jana kwa stream ya mtandao mkubwa wa online unaitwa spotfy 11.7 million, listeners 1.2 million, countries 79 tofauti.

Mwaka Jana wasanii wa Tz walikuwa nominee wengi kwenye tuzo ya SOUNDCITY ya Nigeria Diamond, Rayvanny, Harmonize, Nandy, Ommy dimpoz, Nandy na Mario.

Tatizo nililoliona kwa mtoa mada siomfuatiliaji wa wasanii wa bongo ndo maana vitu vingi havijui kwa wasanii wabongo ndomaana mna waunderrate wasanii wetu vitu nilivyoandika ni vichache Sana labda ungesema wabongo wanaofanya vizuri nje ya nchi ni wachache ningekuelewa.
 
Back
Top Bottom