Supplier wa vifaranga na vyakula vya kuku

Janice

Member
Aug 31, 2011
48
11
Kwa wale wanaofanya ufugaji kuanzia maeneo ya ubungo mpaka kibamba;napenda kuwajulisha kwamba nimeanza kuzalisha vyakula vya wanyama wote wanaofugwa i.e. ng'ombe, nguruwe, mbwa etc.
Bei ni nafuu na kama una formula yako,tutaipokea na kukutengenezea utakavyo.
Nimetaja hayo makazi kwa kuwa ni karibu na kiwanda na itarahisisha usambazaji kwa sasa. Ila biashara ikiwa kubwa tutaanza kusambaza na maeneo ya mbali pia.
Kama uko interested tafadhali ni-pvt na unipe namba yako uweze kufika mahali husike upate huduma.
  • Bila kusahau kwamba tunasupply vifaranga wa kenchic na interchic
  • Utapata madawa ya mifugo as well pamoja na assistance ya daktari wa wanyama
 
mko ubungo sehemu gani? Nataka nije mnipe elimu yakufuga kuku
 
mkuu

weka bei hapa jamvini ..... Broiler Starter, Finisher? bei gani

Layers (grower and mash)

je ni nini chakula chako kiko tofauti zaidi na vingine kama Falcon, IGO au Hill ..... competitor advantage

je mteja akihitaji bulk mnaweza kufanya delivery

weka na formular yako hapa ...... utapata challenge nyingi humu ambazo ninauhakika zitakuimarisha kibiashara
 
Mimi pia napenda nifahamishe zaidi maana nafikiria hii project ya kuku

Morning ndugu.unatakiwa uwe spesific unauzaa product zako tsh ngapi ili wadau wajue what is the diff with other compititor in marketving demand.sec you have to be spesific also where your office located.ndo hivyo bwana mkubwa kwa mfano.mimimnipo kibamba nina kuku wa kienyeji 80,wakubwa ,mbwa,na n.k ningepata price ningeweza kubagain ni nunue kwako or>>pls put your business cellphone>>MBA udsm.holder
 
naomba nitumie quotation yako kwa email yangu please, pamoja na contacts zako tafadhali

email yangu ni itaib786i@live.co.uk
 
Katika utengenez Chakula cha kuku ishu si formula kamawengi wetu tnavyo dhania,Ish ni kuweza kujua kiwango cha CP, CRUDE PROTEIN iliyoko kwenyehuomchanganyiko,Mziki uko hapo na ishu ya Formulahaimati sana,

Kupima DCPnilazima uwe na chombo cha kupimia na haipimwi kwa macho na unaweza tengeneza Chakula chako Mfano chakuku wa Mayai,ukatumia formula viziri ila kwenye DCP ukawa ether protein imezii au imepungua na that is why wengi hutengeneza chakula cha Kuku na kuwapa kuku wao matokea yake ni Kuku kuto kutaga kabisa au kudumaa,

na hii inatokana na ukweli kwamba unaweza kuta Zao moja la kutumia kuchanganyia likawa na kiwngo tofauti cha rotein or CP mfano Soya, Soya inaweza kuwa na CP tofauti kulingana nailipo limwa na kuna mambo mengi yanayo sababisha hilo mfano Ukame, kama mazao yako yalikumbwa n ukame kiwango cha CP hakiwezi kuwa sawa na ambayo hayakukumbwa na ukame
 
Back
Top Bottom