Superstar wengi wanateseka kwenye uzao sababu ya magonjwa ya zinaa yaliowasumbua

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Pengine hili hujui si kwambii uachane nao la hasha
omba umwone dk akusaidie kuna mabinti na makaka wengi masuperstar wameteseka sababu ya kkumwa magonjwa ya zinaa mara kwa mara na wengine kuwa ngumu kupata watoto kama umeoa superstar na una matatizo kjaribu kumwona dk mapema kabla ya kuaribu sehemu za uzazi hii ni kutoka dk mmoja wa eden dispensary anaeongea praisepower hivi sasa
eid njema
 
Back
Top Bottom