Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

kajekudya

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
1,568
2,000
Baada ya kutukana wenzako- sasa tuambie hiyo bei inawezaje kupunguzwa
Mkuu hoja yangu ni, wapunguze bei ili waongeze wigo wa wateja. Watanzania wenye uwezo wa kumudu hizo bei ni wachache na wengi hata sio wapenzi waa mpira ki hivyo. By the way Mimi ni miongoni mwa hao wachache wanaoangalia nyumbani. Isidhani nalalamika.

IMG_20210919_154222_7.jpg
 
Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
6,236
2,000
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Tatizo sio azama bali hali ya uchumi wa watanzania imeshuka sana. Mimi zamani nilikuwa nikisikia premier sasa nalipia cha 20k kwa mwezi mipira naangalia bar
 
kitaboy

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
342
1,000
Yani pale cjui shida n nn, cjui wahapatangazi kuvutia wateja au vipi mana nlipokuwa nafanya kazi unaweza kukaa hata wiki mbili hakuna mtu kuja hata kuuliza bei ya bidhaa.
Ww ndo ulikuwa kwenye duka la nguo hapo kulia ukipita kuingia supermarket? Kuna siku nimeingia nimemkuta mshkaj fulani ana mashati na tshirt nyingi nyingi. Ila bei pia zilikuwa za kisuper star kidogo....itakuwa ndio ww, mshikaj mwembamba wastan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,746
2,000
Serikali katili ya CCM ndio chanzo ya yote hayo. Kila mtu sasa ameamua kuwa mmachinga ili kusogeza siku.
Tatizo lenu wengi humu ni vilaza na wapenda kupiga porojo za kisiasa, hawajishughulishi kusoma na kutafuta vyanzo vya habari kwa taarifa sijui hapa CCM inahusika vipi,nadhani ungekuwa msomaji na sio mvivu wa kusoma ungeshajua kuwa hata huko Afrika Kusini DStv inpo ICU baada ya watoa maudhui wa mataifa ya Ulaya wengi wao kuanza kusitisha maudhui yao kurushwa na DStv na hata NatGeo nao wanafikiria kujiondoa, mfumo wanaotumia DStv umepitwa na wakati. Tukiwa vipofu wa kila kuona kila jambo hasi ni matokeo ya CCM sidhani kama tutafika mbali kwani hata utailaumu CCM kwa kushindwa kuweka mkate mezani kwa kuwa kutwa upo unapiga soga za kuilaumu CCM, na mwisho jiulize kwani Azam Tv wanaikimbiza kwa mbali DStv?
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,076

About 160,000 results (0.60 seconds)

Search Results​

Web results​

DStv Loses Nearly 100k Subscribers In Zim, Economic Woes ...​

https://www.techzim.co.zw › Media
11 Jun 2020 — DStv Loses Nearly 100k Subscribers In Zim, Economic Woes & Electricity Crisis To Blame ... Multichoice recently announced financial results for ...

MultiChoice refutes claims as it looks to avoid Nigeria crisis​

https://itweb.africa › content
9 Jul 2021 — MultiChoice is scrambling to avoid a potential financial crisis as a ... in Nigeria (DStv) “would not promptly respond to correspondences, ...

New Dstv Premiership side TTM hit by financial crisis - The ...​

https://www.citizen.co.za › phakaaathi › new-dstv-prem...
20 Oct 2020 — Meanwhile, as reported earlier, AmaZulu FC might soon find themselves involved in a legal battle with Tshakhuma Tsha Madzivhandila who have ...

Nigerian govt accuses Multichoice of N1.8 trillion tax fraud ...​

https://www.premiumtimesng.com › news › headlines
8 Jul 2021 — ... DSTV, a popular subscription-based platform in Nigeria. ... as Collecting Agents for the full recovery of the aforesaid tax debt.

Case Study of Kwese Tv - Strategy - Financial Insights​

http://fizambia.com › Opinion › Strategy
22 Aug 2020 — UK based GTV closed its doors in Zambia and Africa due to the global financial crisis in 2009. DSTV remained open.

Africa's most loved storyteller - MultiChoice​

https://www.multichoice.com › media › multichoice-...

PDF

10 Jun 2020 — annual report and financial statements fairly reflect, in its opinion, ... our DStv/DStv Now/Showmax brands in 49 markets and.

Pandemic holds both good and bad for MultiChoice​

https://www.businesslive.co.za › telecoms-and-technology
5 Jun 2020 — The Covid-19 crisis may cause MultiChoice to lose more DStv ... make the outlook much more challenging for it in the 2021 financial year.

What it takes to dethrone MultiChoice (DSTV) | by Ryan Gosha​

https://ryangosha.medium.com › what-it-takes-to-dethr...
#DSTVmustfall trended twice (in April and in May) during the lockdown in South ... crisis looming on the sidelines of the corona virus induced recession.

Another knock coming for MultiChoice Zimbabwe as DStv ...​

https://teeveetee.blogspot.com › 2019/06 › another-kno...
24 Jun 2019 — On Monday the economically-destroyed Zimbabwe that is facing a worsening economic crisis as it struggles with rampant inflation and other ...

MultiChoice Group – despite complex challenges, success ...​

https://african.business › News
4 Oct 2019 — It is in this arena that the company continues to hold its own, ... and our trading profit of R7bn reported for the 2019 financial year.
Missing: crisis ‎| Must include: crisis

Related searches​

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,076
2,000
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Ukweli ni huu hapa
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Harufu mbaya bado inanukia ile ya mwenda zake na itasumbua kwa muda mrefu sana Bongo land!! yule jamaa alikuwa anakunya kila sekta anaacha harufu mbaya ya umaskini!! Tangu lini Duniani maskini akawa kiongozi? na nchi ikapiga hatua?

CCM ni chama langu lkn hapa walikurupuka sana, harufu hii itasumbua sana!! mpka aje tata nyarusare
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
6,161
2,000
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
Magufuli hajabana tena?😂😂😂
 
bablai2020

Member
Sep 5, 2020
92
150
Dstv wanashindwa kutumia advantage ya monopoly kuweka unafuu wa huduma zao kwa wateja, wanakuja kulialia huku......kama vipi wasepe tu tufanye mambo mengine, entertainment siyo kuangalia mpira peke yake.
Wasepe maana Hawa ndio wamejipa umiliki wa mechi za ulaya..wakiondoka Hawa mbona itv na Azam watapata vibali vya kuonyesha mechi za ulaya..tatizo lao hawajalisoma soko letu vizuri. Gharama zao kuzivumulia yahitaji moyo wa chuma
 
jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,442

Mbona Zanzibar hawa pati shida ya kuangalia ligi za ulaya ving''amuz vyao bei laisi Sana na DSTV hawa soko Zanzibar
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,872
2,000
Nawasalimu kwa jina la Divided Republic of Tanzania na nyinyi mnajibu KUDEMKA kuendelee!!
😄😄

Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.

Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi vyake.

Super sport ambayo huonyesha ligi ya mpira wa miguu Ghali duniani yaani English Premier League yenye timu maarufu kama Manchester United,Arsenal,Liverpool,Chelsea,Man City n.k imeonyesha kushuka ununuzi wa vingamuzi kutokana na Watanzania wengi sana kuacha kuangalia ligi za ulaya hasa za Uingereza na kushabikia sana Simba na Yanga kupitia Azam TV.

Ripoti ya siri iliyotolewa na multichoice Tanzania imeonesha hasara kubwa kwani ule ushabiki wa timu za England,Champions League umepungua sana nchini ukilinganisha na nchi zingine jirani kama Kenya,Uganda n.k.

Kutokana na hali hiyo wameamua muda wowote kufunga biashara yao na kutuacha tukiangalia Simba,Yanga,Namungo,Biashara United,n.k.

Kama ni taarifa hizi zina ukweli basi watanzania tutakuwa tumerudi nyuma kimpira miaka 20.Mabilionea 3 tu ndio wanaosababisha hali hii.Azam TV haina ubavu wa kununua haki za mechi zote za ligi kuu ya Uingereza,Dola za kimarekani sio za Zimbabwe milioni 600 kwa mwaka.

Tunaomba DSTV WATOE TAMKO.
 
Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
4,723
2,000
DSTV, Multichoice, Supersport wafanye utafiti upya! Wasipokuta tatizo ni bei ya packages zao warudie tena.
Je, hao Game wameripoti kuwa chanzo ni nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom