Superglue kushikishia jino

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,821
48,966
Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
20170613_184638.jpg

Asanteni
 
Jino tu unaumia namna hiyo?!je siku uliyotolewa bikra si itakuwa ulitaka kupaka aradite kbs
 
Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
View attachment 523415
Asanteni
Acha, usitumie coz cdhan glue kam ni kwa ajili ya kutumika ktk miili ya bnaadam pia.... Utapata madhara, nenda kwa dentist atakusaidia tu! Io achana nayo, mbaya... c nzur
 
hahaha! samahani nimekucheka kwa hiyo tekinik yako...
kwanini usiende hospitali mkuu, waeleze utaki kung'oa jino lako wakupe njia mubadala
 
Asante mkuu nikaenda na kipande changu cha jino wanaweza kikirudishia?
 
hahaha! samahani nimekucheka kwa hiyo tekinik yako...
kwanini usiende hospitali mkuu, waeleze utaki kung'oa jino lako wakupe njia mubadala
Nilikuwa naangalia njia rahisi .. ngoja nifanye hivyo weekend
 
Pole sana!
Waone madaktari wa meno nadhani kuna uji uji huwa naona wanajaza ila kwa superglue hiyo sio sehemu yake aisee
 
Habari za jioni wakuu
Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino?
Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane ..
View attachment 523415
Asanteni
nenda hospitali mkuu usijaribu kutumia super glue kugandishia jino kwa sababu am really sure ukifanya hivo itasababisha complication nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom