mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Magari makubwa yenye tairi moja moja,maarufu kama super single yamekuwa chanzo cha uharibifu wa barabara,serikali imewapa muda wamiliki kuhakikisha sasa yanakuwa double tyre kwani yanapakia uzito mkubwa na kuweka mgandamizo mkubwa kwenye bara bara na kuweka tuta kama ilivyo sasa barabara ya dar chalinze