Super Coach Syvlersaid Mziray azushiwa kifo!!!!!!!!!!!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Kinyume na taarifa zilizozagaa kuwa ni marehemu, Super Coach Syllversaid Mziray yu hai ingawaje sasa amehamishiwa chumba cha mahututi.......................
 
Join DateFri Sep 2010Posts875Thanks631Thanked 406 Times in 170 PostsRep Power22DUH kaka umgejiunga jf tarehe niliyojiunga mimi si ungekuwa ma post laki 9? hongera sana.:biggrin1:
 
Duuuuuuuuu kumbe hajafa - yaani mimi nilishaomba ruhusa kuwa tumefiwa na kwa hiyo sitakuja kazini, inabidi sasa niende kazini kujisalimisha
 
waambie msukule umerudi wataelewa tu usiwe na shaka....
 
Duuuuuuuuu kumbe hajafa - yaani mimi nilishaomba ruhusa kuwa tumefiwa na kwa hiyo sitakuja kazini, inabidi sasa niende kazini kujisalimisha

waeleze ulisikia redioni kuwa babu yako (Mzee Msuta mstaafu wa EAC) amefariki, kumbe ilikuwa ni uongo.:biggrin1:
 
Join DateFri Sep 2010Posts875Thanks631Thanked 406 Times in 170 PostsRep Power22DUH kaka umgejiunga jf tarehe niliyojiunga mimi si ungekuwa ma post laki 9? hongera sana.:biggrin1:
wewe sasa unatafuta ban!!! Hiyo ni pekenyuarism and character assassination...
 
Join DateFri Sep 2010Posts875Thanks631Thanked 406 Times in 170 PostsRep Power22DUH kaka umgejiunga jf tarehe niliyojiunga mimi si ungekuwa ma post laki 9? hongera sana.:biggrin1:

Eee bwana ee! JF itakuwa imevamiwa na spammers, au ni msimu wa kampeni? tuangalie kama mwezi ujao wataendelea kuchangia.
 
Join DateFri Sep 2010Posts875Thanks631Thanked 406 Times in 170 PostsRep Power22DUH kaka umgejiunga jf tarehe niliyojiunga mimi si ungekuwa ma post laki 9? hongera sana.:biggrin1:

Jina lenyewe "Rutashubanyuma" says it all. Jamaa harudi nyuma. Aiseeee, nadhani itabidi aingie kwenye rekodi za JF. Kwa siku anapost thread kama 18 hivi!!!!!!! Jamaa itakuwa amejiajiri maana kama ni mwajiriwa lazima agombane na mwajiri. Big up mzee usirudi nyuma
 
cha msingi tumwombee nguli huyo arejee kwenye kazi yake aipendayo baada ya mungu kumjalia afya njema
 
Jina lenyewe "Rutashubanyuma" says it all. Jamaa harudi nyuma. Aiseeee, nadhani itabidi aingie kwenye rekodi za JF. Kwa siku anapost thread kama 18 hivi!!!!!!! Jamaa itakuwa amejiajiri maana kama ni mwajiriwa lazima agombane na mwajiri. Big up mzee usirudi nyuma

Itakuwa anafanya kazi kwenye kafee fulani hivi pale A town maana siku hizi si wengi wanaoenda kusafu kafee huju jamaa ni kiboko! hizo ni threads tu acha replies! big up kaka kazi buti naona unachungulia post 1000
 
hapo ndiyo wengi wamekata tamaa!

Wengi wasikate tamaa - HATAKUFA, ATAISHI KUTANGAZA WEMA WA BWANA - TUNAMWOMBEA MUNGU ANAYEWEZA KUBADILISHA MAJIRA NA NYAKATI - AIBADILISHE AFYA YAKE IWE NJEMA - MUNGU ANAWEZA - amen
 
Back
Top Bottom