Supabets Tanzania (Una deposit tu, ku withdraw haiwezekani kwa takribani wiki sasa

the ultimatum

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
401
250
Habari wanamichezo hususani wapenda michezo ya kubahatisha.

Kuna changamoto imetokea Supabets nimeshindwa ku withdraw pesa nilizoshinda siku ya pili sasa. Nimefuatilia wameniambia tatizo lipo kwa takribani wiki sasa. Wameshindwa kulitatua mpaka sasa. Napenda kuwashauri wanamichezo hususani watumiaji wa supabets waache ku deposit pesa zao mpaka wataposhughurika na tatizo la msingi.

Kushindwa kutoa pesa uliyoshinda haina tafsiri nyingine zaidi ya utapeli.

Wito wangu pia kwa mamlaka zinazohusika waweze kuyatazama haya makampuni kwa ukaribu yapo zaidi kimaslahi yao huku yakiwanyonya watanzania na hata wanapotokea wameshinda kupata pesa inakuwa ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sultan S. Abdallah

Verified Member
Dec 21, 2017
2,361
2,000
Kuna group humu la hayo maswala ya betting ungeenda kuweka swala lako huko nafikili ungepewa ushauri mzuri kuliko kufungua uzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom