Supa mix, the hottest mid morning how in tanzania

sharmox

New Member
Sep 4, 2011
1
0
combination ya Michael Baruti na Zembwela kwenye kipindi cha SUPAMIX kinachoruka hewani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa, kupitia East africa Radio ni nzuri saaaaana....

wawili hawa wanaupeo mkubwa sana wa kuchambua mambo ya kijamii na kuyawasilisha kwa wahusika wakiwa na lengo la kusaidia sana wananchi wa tabaka la chini......

i like what you guys do, keep up the goodwork guys.....
 
Ni kweli ni kipindi kizuri sema zembwela ashaanza kulewa sifa,ashaanza kujiaona yupo juu,ashaanza kuwakatia watu simu,zembwela anataka mtu akichangia mada achangie kama anavyotaka yeye,hajui kwamba kila mtu ana maoni yake aliangalie hili::Mtu anauliza kwa nini kwenye wimbo wa roma pale anaposema " Tuwakemee mafisadi wote wa ccm" wao wamedit kwahiyo wanawaficha hao mafisadi? jamaa naona akamaind kinoma,kwani nani hajui kwamba ccm ni chama cha mafisadi?? Zembwela Jifunzi bwana mwache mtu aulize,usionyeshe wewe upo una mlengo gani:::
 
mikaeli na Zembwela mnjitahidi sana kwenye super Mix . kAZA buti kaka zangu msivunjwe moyo na wanaowatolea kashfa.
 
combination ya Michael Baruti na Zembwela kwenye kipindi cha SUPAMIX kinachoruka hewani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa, kupitia East africa Radio ni nzuri saaaaana....

wawili hawa wanaupeo mkubwa sana wa kuchambua mambo ya kijamii na kuyawasilisha kwa wahusika wakiwa na lengo la kusaidia sana wananchi wa tabaka la chini......

i like what you guys do, keep up the goodwork guys.....

zembwela kakutuma wewe umsafishe mwambie aache kuongea tu kisa kafungua mdomo
 
mbona walisema aliwashushia madongo wale wasanii walionyonywa na ruge kuwa wanampotosha mh. au sie yeye zembwela kasema hayo maneno..
 
mh juzijuzi tu niliona post hapa ya kumponda Zembwela leo anasifiwa aniways kwangu ni ngumu kujudge since sijawahi kukisikia hicho kipindi au yeye akiwa natangaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom