naomba msaada wa mtu yeyote anaejua dawa ya warts au sunzua, vinaota sehemu za siri kama vinyama vinanisumbua na vinazidi kuongezeka kila cku, mpk sasa nimegoogle nimekuta matumizi ya apple cider vinegar, raw garlic, na onion na chumvi ila mpk sasa bado havijaisha, na hospital nilionana na gynecologist akaniandikia dawa fulani unapaka then unaosha ila inaniunguza sana na kunichubua wala haiponyeshi , naomba msaada mwenzenu nitumie dawa gani tena au nini , mpk sasa naendelea kupakaa castor oil ambayo bado matumaini ya kuponyesha hayapo (vimedumu zaidi ya miezi miwili)