Sungura sizitaki mbichi hizi!nani anakumbuka shairi hili???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sungura sizitaki mbichi hizi!nani anakumbuka shairi hili????

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Matope, Dec 31, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sungura akarukaruka, lakini hakufikia
  Akachoka na mkia, matunda kuyarukia.
  sungura akalilia ,sungura nakuambia.
  yakamtoka machozi,sungura akalilia,
  naona nafanya kazi,bila faida kujua,
  sizitaki mbichi hizi,sungura akagumia.
  Haya anaekumbuka ubeti mwingine anakaribishwa!!!
   
Loading...