Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Sungura mmoja aliingia dukani na kuuliza
"Mna karoti?".
Wakamwambia, "Hapana, Hatuna".
Siku iliyofuata Sungura akaingia tena na kuuliza ," "Mna karoti?".
Wakamjibu kwa hasira "Tulishakwambia hatuna karoti. Usirudie kuja kuuliza tena karoti, ukirudia tutachukua msumari na nyundo tukutoboe kichwa"
Siku ya tatu Sungura akaenda tena ,akauliza "Mna nyundo? Wakamjibu hapana . Akasema ; "Vipi kuhusu misumari?" Wakamjibu, "Hatuna"! Kwa utulivu akauliza tena; "Mna Karoti?"