SUMVE SCHOOL OF NURSING NA VYUO VYA AFYA SASA HUU NI UONEVU

desmond3076

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
255
250
ndugu wanajamvi wa jamii forum
HERI YA SIKUKUU YA NANE NANE
Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa niaba ya wanafunzi wanaosoma chuo tajwa hapo juu, huwa vyuo vya afya kanda ya ziwa vinao utaratibu wa kufanya mithani jumuishi ambayo inafanyika kwa vyuo vyote kanda ya ziwa(lake Zone). ni kweli mitihani ilifanyika kwa amani na watu tukapumua huku tukingoja kuendelea na utaratibu mwingine, kinachonskitisha,ni wizi uliofanyika na kupelekea watu kukamatwa na majibu na hivo tusio na hatIa tumeambiwa na uongozi wa chuo cha sumve kuwa mitihani imefutwa kisa wameiba sehemu nyingine kibaya zaidi KILA MWANACHUO ANATAKIWA KULIPIA ADA YA SH 100,000/= HAIJALISHI ULIIBA AU HUKUIBA WOTE KILA KICHWA , hivi ni haki kweli jamani au watu wamechukulia kufanya mradi KUIBA WAIBE WENGINE GHARAMA TULIPE WOTE NDO SHERIA GANI HII?, kwani nini wasiwajibishwe walioiba? na je mitihani inaibiwaje kama sio tabia chafu za wakufunzi? kisheria hata vyuo vikuu mitihani ikifutwa kwa walioiba, gharama si za mtahiniwa ni za chuo husika, lakini leo tunaonewa kwa kosa la watu wengine.
kiukweli inauma sana jamani wajuzi wa mambo kama haya tunaomba msaada wa kutupigia kelele swala hili, iwe kwa wizara ya afya au vinginevyo TUnajua wapo watu humu ni wazito na wenye nyadhifa kubwa, TAKUKURU WAMO, WANASHERIA WAMO, WOTE MUMO HUMU , KELELE ZENU TAFADHALI KWA SAUTI MOJA TUOKOKE NA KUTO LAKI JAMANI NI KUBWA
MPAKA SASA SIS WANAFUNZI TUMEBAKI NJIA PANDA TUMESHINDWA KUSOMAKABISA MSAADA JAMANI TUNAANGAMIA, MAISHA MAGUMU KWELI SI MTAANI WALA SI CHUONI .
PLEASE MODS HELP US, WE STAND BEFORE YOU
TUNAOMBA MAWAZO YENU TUFANYEJE JAMANI...............................................??????????
DESMOND
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom