Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

Jamani mi naulizia Njia nzuri ya kuua mnazi,
Kuna Jirani yangu alipanda mnazi wake mpakani kabisa sasa umekuwa mkubwa unaleta kero Sana nimempa pesa aukate kachukua pesa halafu kakataa kuukata.
Sasa nataka Njia ya kuua kwa kuukausha kimyakimya.
Namomba anayejua namna ya kuua mti huo mnazi
 
Itakuwa anafuga mbwa koko hauoni tabu kumuua, Ila laiti ungekuwa na mbwa wa gharama ambaye umemgharamikia Hadi mafunzo aisee usingewaza kumpatia sumu.

Tafuta wakorea au wachina wape mfugo huo wautengeneze supu.
 
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani

Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Zipo nyingi ila 'Bunduki Risasi Poison' inafaa zaidi kuliko zote Mkuu na nakushauri itumia hii hao Mbwa na Paka watakuwa ni Historia hapo Kwako.
 
Ugongelee nondo kadhaa
Jamani mi naulizia Njia nzuri ya kuua mnazi,
Kuna Jirani yangu alipanda mnazi wake mpakani kabisa sasa umekuwa mkubwa unaleta kero Sana nimempa pesa aukate kachukua pesa halafu kakataa kuukata.
Sasa nataka Njia ya kuua kwa kuukausha kimyakimya.
Namomba anayejua namna ya kuua mti huo mnazi
 
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani

Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Aisee hata mi mbwa kasababisha kuku wamekimbia

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Duuh,viumbe nyie yaani mnatumia bundle zenu kujadili jinsi ya kutoa kiumbe uhai,hivyo vifaranga vikikua utachinja ule na pilau na firigisi zake,utajisikiaje pale umeshika tonge halafu mbwa wa jirani anabweka wewe wakwako umempa sumu ili uje kulifaidi jogoo peke yako?.Jaribu kutengeneza banda litakalo mzuia huyo mbwa kula hivyo vifaranga,au mgawe huyo mbwa kuliko hii jinai unataka kuifanya.
 
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani

Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Changanya piriton 20 halafu mtegee kwenye chakula chake. Ukiona piriton Ni ghali Basi wekea yeye paracetamol 20 au Panadol 20.
Kesho lete mrejeshi
 
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani

Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
We mwanga nini?
 
Jamani mi naulizia Njia nzuri ya kuua mnazi,
Kuna Jirani yangu alipanda mnazi wake mpakani kabisa sasa umekuwa mkubwa unaleta kero Sana nimempa pesa aukate kachukua pesa halafu kakataa kuukata.
Sasa nataka Njia ya kuua kwa kuukausha kimyakimya.
Namomba anayejua namna ya kuua mti huo mnazi
Nyama yenye chumvi kidogo na maziwa yenye sukari kidogo tosha
 
Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani

Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Nenda duka la dawa za kilimo na mifugo waambie sumu inaitwa DYMECAL ni chenga Kama sukari,wanaanzia kuuza kupima robo kilo ni sh.7,500 tafuta maduka makubwa unaweza kuipata,na inabidi ujieleze vizuri saana ndipo unaweza kuuziwa,
Utakuja kunishukulu baadaye.
 
Duuh,viumbe nyie yaani mnatumia bundle zenu kujadili jinsi ya kutoa kiumbe uhai,hivyo vifaranga vikikua utachinja ule na pilau na firigisi zake,utajisikiaje pale umeshika tonge halafu mbwa wa jirani anabweka wewe wakwako umempa sumu ili uje kulifaidi jogoo peke yako?.Jaribu kutengeneza banda litakalo mzuia huyo mbwa kula hivyo vifaranga,au mgawe huyo mbwa kuliko hii jinai unataka kuifanya.
Mbwa sio wake
 
Hili tatizo niliwahi kulipata, nilitumia sumu zote zilidunda, hiyo ya kilimo DYMECAL ilifeli
Hadi nikaamua kutumia mbinu hii!.
Nilichukua net hizi za nailoni za mbu nikailaza chini then nikaisapoti na vijiti ili kupata uwazi wa mbwa kuingia saizi yake tu pasipo kumpa nafasi ya kugeuka, lengo no kuwa akiingia akitaka kugeuka aivae neti! Halafu ndani nikatia kipande cha nyama!
Nifanikiwa kunasa mmoja mmoja! Nikachukua sindano ya mifugo, na sumu nikawa nawadunga dk 5 nyingi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom