Sumry tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumry tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, Jul 30, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Bus la sumry limepata ajali na kuuwa jana mbeya (gazeti la leo mwananchi)
   
 2. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Mh, poleni sana wafiwa, na majeruhi wapone haraka.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  This is too much!
  Serikali wasimamishe operations za kampuni hii ili wajiridhishe kama wana mafundi wazuri, na kama service zote zinafanywa kama inavyotakiwa, na kama wananunua spares zilizokuwa suggested na manufacturer!
  Kitaalamu tunasema kuwa 85% ya ajali za vyombo vya moto zinatokana na uzembe!
  Ni lazima watakuta uozo mahala!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  hii sasa imepitiliza..au hili basi linamilikiwa na wakubwa? manake huu ni utani na ujuha
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mwenye taarifa atueleze mazingira ya ajari.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mmmmhhh!! Ndg zangu sasa mi hofu imenitanda haswa. Ndg,jamaa na marafiki tunawapoteza kila leo. MUNGU wetu akawe mkubwa kama siku zote na atuepushe na hili la ajali ya kila leo. R.I.P
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  mmilik wa hili basi ALIWAH KUWA MBUNGE,SIJUI KAMA ANAENDELEA,,,,,,LAKINI ALIKUWA ANATOKEA MAJIMBO YA HUKO KWA AKINA PINDA
   
 8. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi kwa mawazo yangu, ninapenda kutoa hoja kwa SUMATRA kuchukua maamuzi magumu dhidi ya wamiliki wa magari yanayosababisha ajali itakayochukua maisha ya binadamu....

  Kwanza walazimike kulipa kiasi kikubwa cha fedha kwa survivors wa ajali na waliokufa kupitia bima, na hii iwe ni special rate sio zile cover za zamani ambazo hazina tija...

  Hatua hii italazimisha wamiliki wasiwape gari madreva wabovu kwa kujua ultmatum ya ajali, hali kadhalika wamiliki wa magari yanayopaki ovyo na kuzua ajali pia sheria iwe kali, bima iwe juu

  Jamani life shouldn't be so cheap, tusipende kuwa statistics, mwendo kasi, ubovu wa magari, na njia mbovu zinatumaliza, serikali ianzishe bima hii kali itakayokuwa ni lazima kwa kila mwenye kumiliki chombo cha moto,
   
 9. I

  Imnyagi Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani acheni kwanza nifike maana niko kwenye hili basi na mara kadhaa limekuwa liki overtake kizembe kwa kiwango cha ajabu kiasi mpaka watu wamekasirika kuna overtake moja imefanyika maeneo ya kitongo mpaka abiria wakawa mbogo lakini bado anaendeleza tabia hiyo nimechukia na kila nikiangalia thread hii naingiwa na woga mpaka nakoma nasema ngoja nifike kwanza ndiyo nitakuwa na uhakika na usalama wangu
   
 10. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hiyo njia haina kituo cha polisi? hakuna polisi wa usalama barabarani? nyie ni mabubu hamuwezi kushtaki? usalama wenu upo mikononi mwenu
   
 11. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nasikia pinda ni share holder katika kampuni hii
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu ilikuwa ni makosa ya uchapishaji kwan basi lililopata ajali sio sumry bali ni basi la SUPER FEO.
  Gazeti(la leo) limeomba radhi kwa makosa yaliyojitokeza kwenye kampuni ya sumry
   
Loading...