Wakuu kwa wale watalaam wa magari, naomba kujua ubora wa Summit Tire . Naona watu wanazisifia lakini inanitia mashaka kutokana na bei yake kuwa chini sana kwa size ya 185.70R14. bei ni 110k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.