Summer Jam 2008

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,586
0
Haya summer ndio hivyo imeanza kama kawaida Hot 97(New York) kila mwaka wanaandaa Tamasha la Summer Jam.
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
Nadhani wife yuko mwezini and she gettin darker too....she need to tighten that shit up - looking like a goon here
WTF is method man wearing?
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,586
0
naona Mpenzi wako katummy kanaongezeka vipi ameanza kuslack kwenye tizi?

I have no idea Tical kavaa nini.
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,586
0
Ila nahisi kama hii summer jam iliboa....Ila sitosahau summer jam ya 2005 which was my first and probably last kwenda.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom