Summer Breeze BBQ in Chicago

Mambo ndio yameshakaribia na line-up ya DJs imeongezeka na sasa kutakuwa pia na DJ Dennis na DJ Nasser kutoka FunkHouse Hustle Hard Da Movement. Pia kutakuwa na LIVE Perfomances kutoka kwa Bongo Flava Artists ambao hapa States. Karibuni Wote.
 
SummerBreezeBBQNU600-800.jpg

Mambo ndio yameshakaribia na line-up ya DJs imeongezeka na sasa kutakuwa pia na DJ Dennis na DJ Nasser kutoka FunkHouse Hustle Hard Da Movement. Pia kutakuwa na LIVE Perfomances kutoka kwa Bongo Flava Artists ambao hapa States. Karibuni Wote.
 
GQ

Vipi mazee, mbona hutuhabarishi yaliyojiri katika babiquu huko Chi-Town?

Hakuna hata mapicha picha?
 
Ha haaa mazee yaani nimewaona washikaji karibu wote wa Chicago. Nimemwona mzee Wisdom....alikuwa anachana ragga lake la "mbuzi kagoma kwenda" nini? LOL
 
hahahaha Mzee Bantuman si unamjua tena na mambo yake ya Mbuzi Kagoma, ilikuwa full shangwe na full kujiachia yaani makini sana na mambo matamu mengine ndio usiseme hahahahahah.
 
Back
Top Bottom