c..rella Brains
Member
- Oct 3, 2011
- 66
- 10
. . .wazee shikamooni!! wakubwa kubwa wenzangu, mamboo?! wadogo hamjambo? . . .lool, me mgeni atiiii, natoa macho tu apa! Nikaribisheni
Marahaba, karibu JF ila tu usiwaige watetezi wa magamba kwa kuwa na ID nane nane,
Marahaba mjukuu wangu!
Karibu sana, nakusihi vigezo na mashariti kuzingatia.
marhabaa, karibu sana.
Karibu sana, hapa ni Utamblisho, nakuomba usiingii jukwaa la siasa leo, limepamba moto. Ukitaka marafiki jaribu MMU, wanakua karibu karibu sana na tayari kusaidiana. Mi utanipata Jokes utani. Kama umepotea kabisa soma ile post ya invisible yakufahamisha namna ya kutumia Jf (how to use JF effectively)
hodi ya chooni haitikiwi karibu
Karibu sana...
Karibu sana jamvini, mimi napatikana hapahapa...
Mbona unaingia kwa nidhamu vp? Wewe CUF,karibu Cdm.