Sumbody show me around..!!

Oct 3, 2011
66
10
. . .wazee shikamooni!! wakubwa kubwa wenzangu, mamboo?! wadogo hamjambo? . . .lool, me mgeni atiiii, natoa macho tu apa! Nikaribisheni
 
Marahaba mjukuu wangu!
Karibu sana, nakusihi vigezo na mashariti kuzingatia.
 
Karibu sana, hapa ni Utamblisho, nakuomba usiingii jukwaa la siasa leo, limepamba moto. Ukitaka marafiki jaribu MMU, wanakua karibu karibu sana na tayari kusaidiana. Mi utanipata Jokes utani. Kama umepotea kabisa soma ile post ya invisible yakufahamisha namna ya kutumia Jf (how to use JF effectively)
 
owww!! how generous RussianR. . .senchuu jamaan, hahahah sawa nitapita MMU sn, ntakutafuta pia huko 'utani' nicheke mie! Plus siasa ntachungulia tu leo. . .lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom