Elections 2010 Sumbawanga wachakachua matokeo

samoz

Member
Nov 2, 2010
32
1
Nchi ,hii matokeo wanatangaza saa 7 usiku wakati kwenye vituo Peoples pawa wanaongoza!!! Aibu hiyo .ila ipo siku watanzania watataka haki zao wasichakachuliwe kura zao!
 
Duh!kwa nini wapiganaji walilala wakati mapambano bado yalikuwa yanaendelea?Si tulishakubaliana hakuna kulala mbaka kieleke!!!
 
Ndio hivyo .....sehemu ambazo watu sio imara ,lazima upigwe bao !!CCM imejifanya kama ni Chama kilichojihanikiza na serikali na mbinu zake !ina kila kitu jeshi ,inteligensia,polisi wote wanaipa support ma kuisadia ! Huo ni ujinga wanaaibisha taaluma zao! Shiiit
 
Back
Top Bottom