Elections 2010 Sumbawanga vijana wagoma kwenda kulala

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Kutoka Rukwa, vijana wamekataa kwenda kulala wanasubiri matokeo ya uchaguzi. Wenyewe wanasema "hakuna kulala, mpaka kieleweke"..
 
Mkuu MJJ,
Hata mimi hapa hakuna kulala...tupo pamoja mkuu!
Mungu amesikia kilio chetu na ametutembelea kwa mwale wa moto!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa mwamko huu, tume itabidi itekeleze majukumu yake kwa haki, la sivyo yananukia ya kenya!!!:A S angry:
 
Back
Top Bottom