Sumbawanga vijana wagoma kwenda kulala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga vijana wagoma kwenda kulala

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kutoka Rukwa, vijana wamekataa kwenda kulala wanasubiri matokeo ya uchaguzi. Wenyewe wanasema "hakuna kulala, mpaka kieleweke"..
   
 2. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,581
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Mkuu MJJ,
  Hata mimi hapa hakuna kulala...tupo pamoja mkuu!
  Mungu amesikia kilio chetu na ametutembelea kwa mwale wa moto!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  inatia moyo kwa kweli hali hii jamani, am proud to be forces for change (dot.com generation)
   
 4. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Imesimama mbaya wazee!
   
 5. c

  chanai JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu kweli watu wameamua kujikomboa
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,461
  Likes Received: 418,969
  Trophy Points: 280
  Kujikomboa kwahitaji kujitoa mhanga kiujumla
   
 7. Chacha wa Mwita

  Chacha wa Mwita Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Vipi Musoma Mjini? hakuna mwenye taarifa za huko?
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwa mwamko huu, tume itabidi itekeleze majukumu yake kwa haki, la sivyo yananukia ya kenya!!!:A S angry:
   
Loading...