Sumaye: Vijana kuleni pesa za mafisadi ila kura wanyimeni

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,925
13,259
Wandugu!

Nimemsikia Waziri Mkuu wa Awamu ya tatu, Mh.Fredrick T Sumaye kupitia ITV habari akikemea Rushwa kwenye uchaguzi. Anafanya vyema sana. Ila alipoendelea kuongea niligundua kuna kasoro kubwa kwenye kauli zake. Mheshimiwa Sumaye aliwashauri wananchi wakipewa rushwa wapokee, ila kwenye kura wampe wamtakae!

Sasa nikajiuliza, sheria za Nchi zinasemaje kuhusu kutoa na kupokea Rushwa?

Ina maana huyu "Waziri Mkuu" hajui kuwa kutoa, kuomba na kupokea Rushwa ni kosa la jinai? Kwanini anawashauri wananchi wavunje sheria?

Sumaye chunga sana kauli zako!
 
Akiongea na katika kongamano la kuwawezesha vijana kiuchumi jijini arusha, amewahasa vijana kutowachagua viongozi wanaotumia pesa kuwaonga wapiga kura. Na kasisitiza ya kuwa endapo watapewa hizo pesa wazipokee wale lakini kura wasiwape
 
Huyu alikua Waziri Mkuu wa serikali ya CCM kwahio ana-justify uozo wa Miccm mijizi isiyo na haya!! Naunga hoja kuwa neno Ccm liwe ni tusi, tena kubwa tu ila sio la nguoni. Ccm mkubwa wewe
 
Hii nchi siielewi kama Sumaye anapinga rushwa itafika muda hadi Chenge atapinga rushwa.
 
Wandugu!

Nimemsikia Waziri Mkuu wa Awamu ya tatu, Mh.Fredrick T Sumaye kupitia ITV habari akikemea Rushwa kwenye uchaguzi. Anafanya vyema sana. Ila alipoendelea kuongea niligundua kuna kasoro kubwa kwenye kauli zake. Mheshimiwa Sumaye aliwashauri wananchi wakipewa rushwa wapokee, ila kwenye kura wampe wamtakae!

Sasa nikajiuliza, sheria za Nchi zinasemaje kuhusu kutoa na kupokea Rushwa?

Ina maana huyu "Waziri Mkuu" hajui kuwa kutoa, kuomba na kupokea Rushwa ni kosa la jinai? Kwanini anawashauri wananchi wavunje sheria?

Sumaye chunga sana kauli zako!

its the only way to defeat rushwa

pokea na bado tenda haki

wataacha kutoa
 
Huyu alikua Waziri Mkuu wa serikali ya CCM kwahio ana-justify uozo wa Miccm mijizi isiyo na haya!! Naunga hoja kuwa neno Ccm liwe ni tusi, tena kubwa tu ila sio la nguoni. Ccm mkubwa wewe

Wewe aisee familia yako inajivunia kuwa nawewe, nitaanza kulitumia hilo tusi
 
Back
Top Bottom