Sumaye: Ukitumia kalamu kuingia Ikulu, utatumia risasi kung'ang'ania huko

Unaandika kwa Capital letters ili iweje?

Watu wnegine bana!

Huyo Sumaye wenu ni mfamaji haishi kutapatapa aende akajibu tuhuma za kujimilisha maeneo makubwa ya ardhi.
 
Huyu Sumaye anashindwa hata na mama Mary Nagu huko kwao.

Mtu kama kitongojini kwako tu hawakutaki je utaweza kuwa rais wa nchi kubwa kama hii.

Sitashangaa kama akichukua fomu 2015 na atapigwa mweleka wa aibu hadi akome! maana naona yaliyomkuta 2005 hayajamtosha. Kuna kazi nyingi za kufanya wastaafu kama kufanya charity, kuzunguka vyuoni kutoa midahalo, kucheza na wajukuu etc lakini jamaa macho yake yapo ikulu akilala akiamka anaona urais! :smile-big:
 
Mkuu wangu hawa jamaa wanachekesha sana hivi kweli Sumaye naye anatamani kuwa rais.
 
Mungu ameshauweka utawala wa Sharo kwenye mabano ..kifuatacho ndo hicho 'fate'
 
Mkuu wangu hawa jamaa wanachekesha sana hivi kweli Sumaye naye anatamani kuwa rais.

Tanzania mtu yeyote aweza kuwa raisi, kwani Sumaye anaupungufu gani ukimlinganisha hata na raisi wetu wa sasa? Acha dharau mkuu!
 
Katika uchaguzi wa mwaka 2005, kuna mwanasasa mmoja alilalamika kuwa mtu akiingia madarakani kwa kuchafua wenzake kwa kalamu, atatawala kwa bunduki (Sii nukuu rasmi). Kwa mtazamo wangu japo hii ilikuwa ni statement ya kisiasa zaidi ila ni kweli kuwa kiongozi ambaye badala ya kutangaza sera na mipango yake anachafua wenzake hafai kupewa madaraka. Kuchafua wenzako ni dalili kuwa wewe ni kiongozi dhaifu na mvivu wa kufikiri. Hata ukipewa madaraka utakuwa unaongoza kwa kushughulikia wenye mawazo mbadala hata kama ni bora kuliko yako. Hutakuwa tayari kujadili na wenye mawazo mbadala ila utakuwa unawachafua kuwa ni wachochezi au wanatumiwa. Na kama hawatakubali utawashughulikia ikibidi kwa risasi.

Je yanayotokea Mtwara ni matokeo ya utabiri huu?
 
Back
Top Bottom