Sumaye aunguruma: Akemea wala rushwa, mafisadi, amuunga mkono Kikwete

Mtachimbua sana tu lakini kumbuka hata mabondia wanatwangana sana ulingoni ila nje ya ulingo wanagonga mvinyo pamoja.
 
Hyu mzee hapa alikuwa na akili timamu sa cjui kama sa iv zimemruka?? Au nae alipokea sehem za ile b10??

Edo anatumia sehem ya fedha kama panado kutupumbaza watanzania,

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Hyu mzee hapa alikuwa na akili timamu sa cjui kama sa iv zimemruka?? Au nae alipokea sehem za ile b10??

Edo anatumia sehem ya fedha kama panado kutupumbaza watanzania,

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Sumaye kavurugwa
 
Back
Top Bottom