Sumaye atema cheche: aponda utamaduni wa posho kwa watumishi na wabunge

Yule awaye yeyote aliyeamua kunyamza, amini na kwambia ni mbaya kama walioko madarakani, kwa ufupi wote ni manyang'au tu!! Ni wale wale tu, miaka ya sabini tuliwaita wakenya manyang'au laiti nakwambieni sisi tunazalisha manyang'au yenye sumu kali kuzidi wao!!

Sumaye anaamua kuongea tu, kwasababu amepewa jukwaa, na kwa unfaiki anajifanya anaongelea kwa umjumla wakati mfano ukweli wezi tunao hapa hapa. Hatukuwasikia wakikemeana CC wala NEC, kazi ya vikao vilijaa mipasho na taarabu kwa wingi!! Wao wamuache JK ale bata zake maana ndo kazi tulimpa baada ya kutudanganya ataleta maisha bora kwa kila m-TZ. Sumaye tunajua alihamia marekani ku-upgrade elimu yake ili aje apambane 2015!!

Wale wale tu...
 
Back
Top Bottom