Sumaye ana akili timamu

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,279
6,649
Hicho ndicho ninachoweza kusema kumhusu huyu kiongozi ambaye amehama
kutoka CCM tofauti na wengi wanavyomchukulia. Hata Kimuonekano huwezi
kumlinganisha na Waitara, Lowasa na wengi wengineo waliohama.

Bado nina imani na Sumaye SI MSALITI.
 
Samahani Mkuu hapa unataka Kutuuliza kama Sumaye ana Akili timamu au hana? Liweke wazi Kwanza hili tafadhali ili wengine sasa tuanze Kutiririka na Kuserereka dhidi yake na hasa hasa katika hicho Kipengele muhimu cha kwamba ' ana Akili timamu ' au vinginevyo.
 
Hicho ndicho ninachoweza kusema kumhusu huyu kiongozi ambaye amehama
kutoka CCM tofauti na wengi wanavyomchukulia. Hata Kimuonekano huwezi
kumlinganisha na Waitara, Lowasa na wengi wengineo waliohama.

Bado nina imani na Sumaye SI MSALITI.
Mtu yeyote mwenye vinasaba vya CCM sio wa kumuamini kabisaaa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom