Sumaye akutana na waandishi wa habari; afafanua msimamo wake

Nifafanue:

Nimeshutumiwa kuwa namshutumu mwenyekiti wa chama. Nilijibu nikadhani mambo yameisha kumbe ndo kwanza yameanza.

Nimeshutumiwa na UVCCM Pwani kuwa - Sumaye na Lowassa wana mpango wa kukivuruga chama ili wafikie malengo yao 2015
 
Kama Lowassa na Sumaye wanautaka urais 2015, kwanini washirikiane? 2015 kutakuwa na marais wawili?
 
Hakuna sehemu hata moja ambapo niliwahi kumtaja rais katika maongezi yangu, madai kuwa namtukana na kumchafua rais ni tuhumu za uwongo kabisa
 
UVCCM wanadai sisi tumeshiba na sasa tumevimbiwa... Tuwaache nao wale kama sisi.

Haya ni matusi na kejeli na inasikitisha sana
 
Ina maana UVCCM wana mgombea wao ndo maana wengine tunaonekana kero kwao kwani tunamvurugia mtu wao. Vijana wenye tamaa ya KULA ni hatari kwa taifa
 
Kama Lowassa na Sumaye wanautaka urais 2015, kwanini washirikiane? 2015 kutakuwa na marais wawili?

Sijui nani atakuwa Rais 2015. Najua hawezi kuwa mmoja kati yenu wawili. Vinginevyo Lowasa atageuka Chenge wako kama ilivyotokea kwenye Uspika wa Sitta.
 
Eti vijana wanataka wamweke mtu wao ili wale? Imenishtua sana!

Wanadai tunakibomoa chama, wanadai kuwa tunataka rais atoke kaskazini. Kwa madai yao nchi itaendelea kusonga mbele na wanatupa pole tunaodhani rais lazima atoke kaskazini.

Huu ni ubaguzi, haya ni maneno ya hatari yanayoweza kukigawa vibaya sana chama chetu na Tanzania kwa ujumla.
 
hivi huyu anangojanini kurudisha kadinaye bana...wanalalamika sana sana ..kama chama limeboa si apige chini ajiunge chama kingine au akae zake huko kiluvya ale mapapai tu
 
Ubaguzi huu wa ukanda tena kutoka UVCCM mkoa wa Pwani usipochukuliwa hatua utalipeleka pabaya taifa!
 
toka kijijini kwangu usokami...nakufatilia invisible..endeleaaa
 
Eti vijana wanataka wamweke mtu wao ili wale? Imenishtua sana!

Wanadai tunakibomoa chama, wanadai kuwa tunataka rais atoke kaskazini. Kwa madai yao nchi itaendelea kusonga mbele na wanatupa pole tunaodhani rais lazima atoke kaskazini.

Huu ni ubaguzi, haya ni maneno ya hatari yanayoweza kukigawa vibaya sana chama chetu na Tanzania kwa ujumla.

Hadi sasa mkoa wa Arusha umetoa mawaziri wakuu watatu. Si haba.
 
UVCCM wana mpango wa kupambana kina Sitta na Sumaye. Wanataka hawa wasipewe nafasi katika chama, wanadai watapigana ndani na nje ya chama kuhakikisha watu hawa hawapewi nafasi.

My comment:

Sitta yashaanza kumkuta ya UVCCM huko Tabora!
 
Back
Top Bottom